kijiweni leo na baraka clement
kwa wanakijiweni wote
Jumanne, 28 Julai 2015
jama huyu ni mfanyakazi wa ndani
au
muaji wa ndani
KUJIAJILI
NA
KUAJILIWA KIPI BORA ZAIDI?
: to maoni yako hapo
KUNA WATU WANAIBA MPAKA
kuku
katika maisha yako yote Duniani usijalibu kuwa mwizi ndugu yangu
Kama una kazi we kua omba omba
jamani kazi
ni kazi
piga kazi kila day hili upate kipato chako halali katika maisha yako
WANA KIJIWENI MPOOOOOOOOOOOOOO
Kama mpo ni poa basi ni full swagger tuwe pamoja basi on my blogger hapa
asante sana kwa wanao nisapoti katika blogger hii
Machapisho Mapya
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)